Sunday, January 31, 2016

Uchumaji wa karafuu

Zao la karafuu linahitaji miezi mitano mpaka saba hadi kuvunwa kwake, na hustawi zaid katika maeneo yenye joto kali na mvua za mara kwa mara , mfano Pemba.