upaliliaji

Mikarafuu hupaliliwa kwa mwaka mara moja . zoezi hili hufanyika wakati ule mvua  hususan za masika zinapokuwa zinanyesha kufanya hivyo ni kuogopa tishio lolote la moto kwani hupelekea kuungua kwa mikarafuu

No comments:

Post a Comment